Tuesday, April 25, 2017

100% Bongo Certified: Inasikitisha Sana! Tuweni Waangalifu na Haya Mambo Wapendwa. Kuegesha Gari Kwenye Mteremko Halafu Mnaanza Kutombana ni Hatari...Wapenzi Hawa Wapumzike kwa Amani !!! [TanzaniaPulse]

Inasemekana wamepata ajali walikuwa wameegesha gari karibu na mteremko wakawa wanafanya mapenzi ndani ya gari.
Ghafla gari likafeli break likashuka mlima likawamaliza. 
Mahali ni Majumba 6 jirani na Segerea Dar.
Samahani kwa picha ila tujifunze kitu. 
Huyu dada lazima mambo yalikolea akasukuma gear kwenda free.


This post appeared first on Tanzania Pulse

No comments:

Post a Comment