Tuesday, February 21, 2017

254 Certified: Majirani Zetu Wamecharuka Kweli Kweli. Yaani Wanadhalilishana Laivu. Sijui Kama Wao Wana Sheria ya Makosa ya Mtandao. Anyway Wadau. Niko Mwisho wa Masomo Yangu (Msc. Food Processing). Tuvumiliane na Materials Endeleeni Kuleta. [TanzaniaPulse]

Nimeiva....Nakuja kuwakomboa wanawake...Tujenge tuviwanda tudogo tudogo twa kusindika mazao huko huko vijijini. Elimu Nimeipata...Mtaji Ninao....The sky is the limit...Nikifunga virago hapa Septemba...Itabidi basi niachane kabisa na Rahatupu hii niipendayo sana...Anyway, muda ukifika tutajulishana. Akina mama wakulima wa mboga mboga na matunda vijijini. Mkombozi wenu niko mbioni naja.....

No comments:

Post a Comment