Tuesday, February 21, 2017

254 Certified: Majirani Zetu Wamecharuka Kweli Kweli. Yaani Wanadhalilishana Laivu. Sijui Kama Wao Wana Sheria ya Makosa ya Mtandao. Anyway Wadau. Niko Mwisho wa Masomo Yangu (Msc. Food Processing). Tuvumiliane na Materials Endeleeni Kuleta. [TanzaniaPulse]


Download

Nimeiva....

Download

Nakuja kuwakomboa wanawake...

Download

Tujenge tuviwanda tudogo tudogo twa kusindika mazao huko huko vijijini. 

Download

Elimu Nimeipata...

Download

Mtaji Ninao....

Download

The sky is the limit...

Download



Download

Nikifunga virago hapa Septemba...

Download

Itabidi basi niachane kabisa na Rahatupu hii niipendayo sana...

Download

Anyway, muda ukifika tutajulishana. 

Download



Download

Akina mama wakulima wa mboga mboga na matunda vijijini. 

Download

Mkombozi wenu niko mbioni naja.....

Download



This post appeared first on Tanzania Pulse

No comments:

Post a Comment