Saturday, January 7, 2017

100% Bongo Certified: Mambo ya Mwaka Mpya Hayo. Aliaga Mapema Nyumbani Kwao Kuwa Anawahi Kurudi Chuoni. Kumbe Anakuja Kwangu Kwa Wiki Mbili. Jana Ndiyo Ameondoka. Ulikuwa Mwaka Mpya Wenye Furaha Sana. Nakupenda Sana J na Nakutakia Masomo Mema. Siku Moja Lazima Nikuoe !!! [TanzaniaPulse]

No comments:

Post a Comment