Saturday, December 24, 2016

100% Bongo Certified: Wapendwa. Ni Mimi Betty wa Tabora. Nawatakia Majira Mema ya Sikukuu. Nyote Mkabarikiwe na Mkaumalize Mwaka Huu kwa Neema na Mwaka Mpya Ujao (2017) Ukawe na Mema na Mibaraka Tele. Niliowakosea Mnisamehe na Tuanze Mwaka Mpya 2017 kwa Amani na Misamaha. Kaka James wa Mwanza; Samahani kwa Kukukimbia. Muhogo Wako Huo Kuna Siku Utakuja Kuua Mtu. Nisamehe !!! [TanzaniaPulse]

Nancy; Tutaonana April huko huko kwa Madiba...Na patachimbika sana mweh !!!Love you sana !!!

No comments:

Post a Comment